Friday, November 14, 2008

HABARI Kamati ya Mashindano TFF iende na wakati ::: Pinda ataka vigezo vipya haraka kwa watendaji ::: Daladala yajeruhi 11 ::: Mwenyekiti wa Vijana aikimbia Chadema ::: Mazungumzo ya Soko la Pamoja EAC yakwama ::: Nyaulawa azikwa, Padri aonya kulimbikiza mali ::: Vyuo vinne kushiriki tamasha la michezo ::: Mrithi wa Bezinski kujulikana leo ::: Ivo bado kujiunga na Stars ::: TBF kumsafisha Dibo ::: Kaburu ajitosa TFF ::: Wengine wapewa dhamana EPA ::: Walimu washinda rufaa yao ::: Milioni 225/- zatumika kuchimba visima Singida ::: Mashaka yatawala kwa waliomaliza la saba Mwanza ::: Manaibu waziri wasihi wakazi karibu na hifadhi ya Arusha ::: Waliokutwa na bunduki waunganishiwa shtaka la mauaji ::: Chamijata yaahirisha mashindano ::: Flamingo yashusha pigo kwa Sekei ::: Waanza kutandaza nyaya chini ya bahari ::: TOT Plus Taarab kumsindikiza Dogo Mfaume ::: Singida kutumia bilioni 120/- kujenga hospitali ya rufaa ::: Winchi zaidi zaingizwa bandari ya Dar ::: Familia Geita zageuka kuwa wakimbizi ndani ya nchi yao ::: Vipigo kwa wanawake na unyanyasaji kijinsia bado wapamba moto ::: Maktaba Mwanza kusogea hadi wilayani ::: Mchezo wa Korogonza jukwaani leo Dar ::: Hatua hii ya Uingereza inaongeza urasimu wa viza ::: Bila nishati hakuna maendeleo ::: Fedha na forodha watakiwa kuwajibika kuondoa rushwa :::

Alhamisi Nov 13, 2008
Baadhi ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Elimu (Duce) wakiipa kamera mgongo kukwepa kupigwa picha wakati wakijiandaa kutoka katika mabweni yao Chang’ombe Dar es Salaam jana baada ya kutolewa amri ya kukifunga. (Picha na Mroki Mroki).
HABARI INAYOONGOZA LEO::
Mlimani wasimamishwa
Baada ya wanafunzi kugoma kuingia madarasani, uongozi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam sehemu ya Mlimani umewasimamisha masomo

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu