Tuesday, November 11, 2008

VIONGOZI WA JUMUIYA YA WATANZANIA ITALY WALIKUTANA NA MAREHEMU MIRIAM MAKEBA KABLA YA SHOW NA KUFARIKI

Mwenyekiti wa jumuiya ya Watanzania Italy ndugu Abdulrahaman A.Alli wakishikana mikono au kusalimiana na mama Afrika MIRIAM MAKEBA jana mchana.Miriam Makeba alifariki baada ya show hiyo.



Hapa Katibu mkuu wa jumuiya ya Watanzania Italy, ndugu Kagutta NM. naye akisalimiana na Miriam Makeba jana mchana.

MIRIAM MAKEBA KATIKA SHOW YA MWISHO JANA 1932-2008
Picha kwa hisani ya Jumuiya ya watanzania ITALY

Wanapatikana hapa


TANZANIAN COMMUNITY IN ITALY

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu