Monday, May 18, 2009

The Ngoma Africa band! Kutingishwa majukwaa yote makubwa

The Ngoma Africa band! Kutingishwa majukwaa yote makubwa
Kuanzia !Fest Afrika,Burg-Lissberg 31 Mai 2009,
14 Jun 2009 ,Jukwaa la MASALA FESTIVAL, Hannover,Germany
18 -07-2009 Afrika Fest,Tampere,Finland
Katika majukwaa mbali mbali huko ughaibuni ! au majuu kama kunavyoitwa kutakuwa na pata shika ya nguo kuchanika, wakati bendi yenu maarufu ya mziki wa dansi wenye wenye asilia wa afrika, inayotesa barani ulaya "The Ngoma Africa band"
imejizolea mihaliko mingi ya kutumbuiza katika maonyesho makubwa barani ulaya.
kutokana na taarifa zilizoandikwa na gazeti moja linalochapishwa nchini Italia na kusambazwa ulaya yote.gazeti hilo Africa News limeandika kuwa bendi ya The Ngoma Africa inaendelea kuwapigisha mchaka mchaka washabiki wake barani !ulaya, kwa kutumia mdundo wake wa dansi "Bongo Dance" kutoka Tanzania.
Pekua katika link hii hapa chini upate kujua yanayofanywa na watoto wa Tz walio huko majuuu


0 Maoni yako/Post comments here:

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu