Sunday, February 26, 2012

Tuzo ya heshima kwa Mama Maria Nyerere

Wake wa marais wastafu mama Siti Mwinyi na Mama Anna Mkapa waki mpatia Tuzo ya miaka hamsini ya uhuru wa Tanzania Mama Maria Nyerere IKIWA ni ishara ya kutambua mchango wake katiaka kumsaidia Baba wa Taifa Mwalimu Jk Nyerere kuleta uhuru wa tanzania zawadi hiyo walitoa kwaniaba ya kikundi cha wake wa viongozi shughuli hiyo ilifanyikia msasani nyumbani kwa mwalimu nyerere jana

Mwenyekiti wa kikundi cha wake wa viongozi ambaye ni mke wa Waziri mkuu Tunu Pinda akimshukuru mweji wao mama nyerere kwaku wapokea na kukubali zawadi yao

Wake waviongozi wakiwa kila mmja anapiga picha ya pamoja na mama nyerere aliye vaa nguo nyekundu ni mke wa Makamu wa Rais Zakia Bilal na aliye mshika mkono mama mama nyerere ni Mama Mashiba

Mke wa katibu mkuu wakatibu mkuu mstafu wa ccm Mama makamba akimvisha mama nyerere zawadi ya Bangili

Picha ya pamoja baada shughuli kumalizika picha zote na chris mfinanga

0 Maoni yako/Post comments here:

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu