Saturday, December 31, 2016

Heri ya mwaka 2017.

Hebu tazama safari ya maisha hapo mwanzo na sasa.

Pili jeuka upande wa pili uyatazame maisha ya jirani au washirika wenzako katika maisha yao ya kila siku.

Vuta picha ni vikwazo gani, au miangaiko gani unayopitia kila siku ya maisha yako.

Jitazame wewe kama wewe Mungu amekupa nini kama ufunguo wa maisha yako ya kila siku kama zawadi ya mafanikio.

Sasa angalia hiyo miezi kumi na mbili umefanya nini katika mzunguko wa miangaiko yako ya kila siku.

Tazama kwa marefu na mapana umetenda mema mangapi, hesabu na yatafakari kwa pande zote.

Bado ujachelewa tazama yote mabaya uliyotenda na sema kwa bwana Mungu kuwa yaliyopita yamepita mwambie akupe msamaha, muombe akupe nafasi uwe msafi na kutorudia tena makosa.

Hapo utakuwa umeuanza mwaka mpya 2017 ukiwa msafi na upo tayari kwa matendo mema.

KARIBU MWAKA 2017 MIMI KENNEDY LEPATA CALIST KIMARO NIKIWA NA JOYCE KENNEDY MAMA WATOTO PAMOJA NA WATOTO BERTHA KENNEDY, MARTHA KENNEDY, JONATHAN KENNEDY NA JANET KENNEDY  TUNAWATAKIA HERI YA MWAKA MPYA 2017.

0 Maoni yako/Post comments here:

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu