Tuesday, October 16, 2007

Muuza Vocha awapora bastola majambazi! 'Angalia uhuru'









Monday, October 15, 2007

Jamani magari yatatumaliza

Hatari kubwa sana. kulikuwa na Gari ndogo tatu Walikuwa wakienda Tanga Lushoto
Lakini mungu ndiye anayejua! Walipofika maeneo ya kabuku wakaona bus lililokuwa likuvutwa na fuso gari ya kubeba mizigo
kwa mbele yao gafla likaanza kurudi nyuma kwa kasi kubwa. Kilichotokea ni hilo air bus {jina la bus} ni kuyagonga magari yote matatu
mawili yaliaribika sehemu kubwa sana na moja liligongwa sehemu ya mbele
Hakuna aliyefariki ila majeraha kidogo mungu mkubwa jamani








Yanga si watoto wanachanganywa then wanapewa pipi tamu { pipi ni Mabasi ya kwenda moro}






Sunday, October 14, 2007

Leo hii ilikuwa kazi kwenye kabumbu katika kumkumbuka Baba wa Taifa

Djs wa leo
Ebwana wewe msosi kwanza
Jamaa wawili wa ze comedy walikuwapo kuwapa nguvu eatv na redio, ila yule dada sikumweka machoni
mashibiki kama kawa
Mambo ya chips
Editing photo by kennytz
Wakifanya mavitu mpaka kuwachapa EATV mabao 3-1 mabingwa wa kikombe ni Clouds fm
Hapa mtangazaji wa c2c akijiweka sawa kumpa maswali ndugu michuzi
kazi haikuwa nyepesi Sebo wa EATV ameona kuwa wale watoto wa magorofani ni

wajanja kweli kama redio yao Clouds the fm The people station

Furaha kuwa mjanja pia kuwa mshindi




Mhmmm sijui ilikuwa vipi! mpaka wakatolewa mapema!
Watoto wa Mengi au watoto Mikocheni wakijitosa uwanjani
Mtangazaji wa EA akiwa kwenye pozi la matumaini ya ushindi !


Watoto wa Magorofani wakijiweka tayari katika vita

Mzee wa Blog Michuzi naye alikuwepo uwanjani katika kuweka mambo sawa kwenye
nyumba yake bonyeza hapa MICHUZI


Watoto wa magorofani wakiwa kwenye uzi wao
Wana wa ubalozi wa usa
Wadau wakiwa katika pozi
Wana wa channel Ten wakiwa katika uzi wmanjanoa Wana Africa Media g, wakiwa kwenye pozi la kuwa wana mengi ya kufanya kwenye hiyo fani

Ops! Buckingham palace on the wheels







mwaga fedha upate stareheee si mchezo, wadau mnasemaje?

Heri ya sikukuu wadau wote






  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu