Friday, July 20, 2007

NI MABADILIKO MAKUBWA PIA KATIKA SERIKARI

Hakina Michuzi na wamo Picha za kwanza wakiwa na Jaji Mkuu Mpya

Hebu Tupia mawazo Majina ya Jaji Mkuu wetu. Augustino Ramadhani Wewe kama wewe unasemaje? Tuma maoni yako tutatete....


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mh. Jakaya Kikwete amemteua jaji Augustino Ramadhani kuwa jaji mkuu wa Tanzania. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa kwa vyombo vya habari na katibu mkuu kiongozi, jaji augustino ramadhani anachukua nafasi ya jaji barnabas samatta ambaye mkataba wake umemalizika. Kabla ya uteuzi huo jaji Augustino Ramadhani alikuwa jaji wa mahakama ya rufani ya Tanzania.

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu