Sunday, August 19, 2007

HII NI CHUNGU HETI WATANZANIA WOTE MCHUNGE MIDOMO YENU KUJADILI MAMBO YA BUNGENI!!!


Huyu mweshimiwa amesahau kwamba yeye kafika pale bungeni kwa kuchaguliwa na wananchi
Sasa anawakataza wasimkosoe kwa hayo anayofanya mmmmmmm makubwa haya!!!
anatakiwa akumbuke kitu kimoja Baada ya miaka mitano kuna kurudi kwa waliompeleka huko

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu