Monday, August 20, 2007

Hili JIJI la Mweshimiwa Mkuu wa Mkoa lina yake siku hizi



Hapa jamaa Mwenye nyumba inayoonekana Hapo juu yupo katika ujenzi
Kwani raha ya Ujenzi uzungushe uzio wa bati Sasa wale Askari wa jiji Walipoona Huo uzio
ikawa dili ebwana jamaa waliushumbulia kama nyuki kuuvunjilia mbali na yale mabati
wakayachukua kama kizibiti
bahati wakati tunachukua hizi picha wale wanahabari wa ITV wakatokea kupata picha za karibu
Huyo repota wa itv ni mzuri katika habari za upelelezi kaza buti sudi na cameramen wako


Posted by Picasa

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu