Saturday, August 25, 2007

Huyu ni Mtanzania asiyekubali kubaki nyuma katika vitendea kazi



Katika pitapita katika jiji la mkuu wa mkoa anayepata tabu kuwaondoa wapiga debe
Nilikutana na Mtanzania huyu akiwa na digital camera yake na stand ya kisasa aliniambia
kuwa anashugulika na kurekodi kazi za wanamuziki wa kizazi kipya na anajitaidi kazi yake hiwe bomba
ukitaka kumpata yeye binafsi vuta waya kwa namba
tigo3-253531


Posted by Picasa

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu