Monday, September 17, 2007

Askari anataka kufanya ndivyo sivyo




Wewe Mama Hiyo mizigo umepata wapi mbona mingi



Mama wa watu Nimenunua dukani na risiti hii hapa tatizo liko wapi!



Mizigo yenyewe hii hapa ni yangu nimenunua dukani kosa lipo wapi



Hebu njoo pembeni mama wewe unasemaje! Niseme nini na mizigo

nimenunua dukani , wewe mama hebu sema .....
Haya nenda watu macho yamezidi haya potea haraka....

Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Jeshi la polisi lipo makini katika kipindi hiki kigumu lakini wachache mmmmhhhhhhmm mimi simo wewe unarongaje!

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu