Sunday, September 16, 2007

Hiyo ndiyo kazi ya vijana watatu toka T.A.I kuwapata piga Mobile 0773 251 729



Joseph>Victor>Willy Hawa vijana watatu wameamua kujiajiri
wenyewe kwenye kazi ya kuchora picha mbalimbali
Wanaweza kufikisha ujumbe Mzito kwa njia ya picha
ndugu yangu sina mengi ila picha zinajieleza zenyewe
jinsi gani watanzania wolivyo makini katika kujituma





  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu