Ni nani wa kulaumiwa hapa!
huyo Dereva wa guta alibeba mzigo kuzidi uwezo wa Gari yake
na yeye mwenyewe Yote haya yanatokana na Umaskini
Kwani mwenye mzigo anatafuta kwenye urahisi na kukwepa kukodi gari
haya ndio maisha kila mtu tunapenda kutafuta penye urahisi
kuliko kuangalia usalama wetu wenyewe



