Sunday, October 7, 2007

Jamani inasikitisha



Sehemu daladala lilipopita after kugongwa na scania la mchanga Huyo hapo juu ndiye Dereva wa daladala ametoka mzima kabisa anaitwa Abdallah

Hilo Gari kubwa Scania kwanza liligonga hiyo benz wakati anakwepa kugonga hiyo benz
ndio likaligonga daladala iliyokuwa ikitokea tegeta nalo scania lilikuwa likitokea mwenge mhmhhh
Dereva wa Hiyo scania alikimbia, mpaka askari walipokuja hakuonekana

Watu kama wawili walipasuka vichwa hapo hapo kwani ubongo ulikuwapo ndani ya basi

Leo asubuhi Daladala la Tegeta Ubungo liligongwa na gari ya kubeba mchanga aina ya scania 113 namba T230 ABN
na kutumbukia darajani chini ya mto, inasemekana watu wawili walifariki hapo hapo

na wengine wengi kukimbizwa hospital




Daladala yenye namba T 937 ABN namaba ya ubavuni ni 5/846/b




kama inavyonekana damu ilivyo nyingi inaonesha jinsi gani watu walivyoumia

Hayo Magari makubwa yanaongoza kwa kusababisha makosa

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu