Friday, October 12, 2007

Ukiwakumbuka yatima Basi wewe ni wale wachache wenye hekima

Unapowakumbuka yatima wakati wa sikuku kama hizi wanafarajika mno

Huyu kiongozi wa kidini akitoa zawadi kwa watoto yatima
Hapa akiwa katika picha na watoto kwani hata kama kidogo lakini upendo wamepata
Ni wachache wenye moyo kama huuu

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu