Saturday, October 13, 2007

Siku za sikukuu kama hizi ni muda wa watoto kutembea na kula wanachopenda

Ebwana watoto hawa walibeba pilau Niliwakuta maeneo ya koko beach
Mambo ya idd hayo watoto wakila na kucheza
Bahada ya takribani siku 30 za kushinda bila kula Leo ni ruksa Wastadhi niliwakuta koko beach
Mambo ya chips kuku Jamaa bize na msosi leo koko beach

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu