Saturday, December 22, 2007

Habari::Masheikh waaswa waondoe tofauti ::: Tuwe wavumilivu-Kikwete ::: Masanja wa Simba afungwa China ::: Hongera Rais Kikwete ::: Sina mpango kwa sasa kubadili Baraza la Mawaziri- Kikwete ::: Chadema wakanusha kuwa na mgogoro ::: Tibaigana apeleka taarifa ya polisi walioua kwa DPP ::: Denmark watoa milioni 450/- kusaidia mfumo wa takwimu ::: Maximo: haondoki mtu ::: Kumshinikiza Rais ni utaratibu mbaya-CCM ::: Sitta aeleza mpango wa kuimarisha elimu ya msingi ::: Elimu ya Ukimwi kwa wanawake ianzie vijijini ::: Sudan yatinga fainali Chalenji ::: Magufuli akataa bomoabomoa ::: Kilimanjaro waadhimisha siku ya kupinga ukatili ::: Jamii yahimizwa usafi wa mazingira ::: Kituo cha mafuta Karatu kuuzwa kufidia madeni ya CRDB ::: MWELA Kikundi kilichoanzishwa na vijana kukabili Ukimwi ::: Kesho ni mwaka mmoja wa HabariLeo ::: Ataka kasi kumaliza mashauri ya ndoa na talaka ::: Ataka kasi kumaliza mashauri ya ndoa na talaka ::: Bei ya kondoo yafikia Sh laki moja Z’bar ::: Elimu ya sayansi ni ukombozi kwa mwanamke ::: Simba kusaka wanachama mikoani ::: Yanga SC yaenda kambi Afrika Kusini ::: Chuo Kikuu Dar waandamana kudai fedha za



Rais Mstaafu Alhaji Ali Hassan Mwinyi akikata keki maalum wakati wa sherehe za kuadhimisha mwaka mmoja toka kuanzishwa 'Habarileo', gazeti la kwanza la Kiswahili la serikali kwenye makao makuu ya Tanzania Standard Newspapers (TSN) wachapaji was magazeti ya serikali mtaa wa Samora leo. Wengine wanaoshuhudia ni Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo, Muhammad Seif Khatibu (wa pili kushoto), Naibu Mwenyekiti wa Bodi ya TSN, Profesa Amandina Lihamba na na Naibu Mhariri Mtendaji wa TSN , Mkumbwa Ally. (Picha na Muhidin Michuzi)
Posted by Picasa

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu