Monday, October 27, 2008

HABARI Uchaguzi Faru wasogezwa mbele ::: Baiskeli kutimua vumbi Nov. 2 ::: Mbeya, Unguja, Mwanza zatoa onyo ::: Kikwete atoa jezi kwa Maalbino ::: Yanga yamaliza uteja ::: Nimeweka historia -Mwalala ::: PPF yatoa misaada kwa yatima ::: Iringa yapata vocha 136,000 za pembejeo ::: Watanzania watakiwa kukopa na kurejesha fedha ::: China yaipatia kompyuta Tanroads ::: 'Acheni wanachama wachague viongozi' ::: Dar yaongoza kwa ajali ::: Chuo Kikuu Huria chaomba bajeti ::: Wakurugenzi watakiwa kuanzisha mashamba darasa ::: JK ataka walimu walioghushi waadhibiwe ::: Kaburi la albino lafukuliwa ::: ‘Tuweke maslahi ya taifa mbele OIC’ ::: Wananchi kwa pamoja tuzuie ajali za barabarani ::: Elimu inahitajika kupunguza ajali ::: Tutajiuzulu ikibainika tunataka kumng’oa JK ::: Tenga kugombea TFF ::: Ni Yanga au Simba ::: Ruksa kuwania urais TFF- Tenga ::: Miundombinu netiboli yaua ::: Habari wazinduka Shimiwi ::: Nyota wa VGSS wabaki watatu ::: Tabwe kinara shindano la Redd’s ::: Makamba afiwa na mtoto ::: Magari yapelekwe kukaguliwa - DC ::: Mamlaka yadai wazabuni waoga :::

Jumapili Okt 26, 2008
Mpigapicha wa gazeti hili Mroki Mroki akipigwa na polisi mwenye namba D9346 (kulia) wa Kituo cha Polisi Oysterbay Dar es Salaam katika mahafali ya 20 ya Chuo Kikuu Huria yaliyofanyika kwenye viwanja vya Biafra, Dar es Salaam juzi. (Na Mpigapicha Wetu).
HABARI INAYOONGOZA LEO::
Tutajiuzulu ikibainika tunataka kumng’oa JK
Wenyevit wanane wa Chama Cha Mapinduzi ambao wamehusishwa na kile kinachodaiwa mpango wa kutaka kumng’oa Rais Jakaya Kikwete

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu