Monday, October 27, 2008

Mvua yaendelea kunyesha katika jiji la dar

Mkazi wa dar akiwa ameva koti ili siku iendelee huku mvua ikijinafasi kwa siku ya leo
Hapa konda akijitaidi kusukuma basi dogo wakati mvua nayo inaendelea kunyesha, kwa wale wakazi wa mabondeni
siku ya leo sio nzuri kwao
Posted by Picasa

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu