Wednesday, October 29, 2008

WAZEE WAMEKAA BARABARANI KUWAKILISHA MALALAMIKO YAO

Habari nilizozipata hivi punde Wazee waliokuwa wakidai mafao yao ya EAC wamekaa barabarani na kuzuia magari yasikatishe kwenye daraja la salander bridge. Mpaka sasa ni mkuu wa mkoa na
viongozi wa jeshi la polisi ndio wamefika kwemye tukio kujaribu kutatua tatizo
Viongozi na wafanyakazi wengi wamekwama kufika katika sehemu zao za kazi
Jeshi la polisi lijue wale ni wazee apatakiwi nguvu za ffu bali diplomasia yenye hekima
ni kipimo kwa Raisi Jakaya na uongozi wake kupitia kwa jeshi la polisi
Bado raisi wetu ana changamoto kubwa kutatua matatizo ya wazalendo na
kupunguza safari za nje kila wakati. Walimu mhnhnn Wanafunzi mhnmnn

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu