Wednesday, March 25, 2009

Mkweeeee! Shemejiiiiiiiiiiiii


leo kaka gazeti halisomeki, nahisi ni jinsi ulivyo... leo kaka gazeti halisomeki, nahisi ni jinsi ulivyoweka maandishi madogo sana so kusoma inakua ishu tusaidie ktk hili hasa hiyo habari ya mkweeeeeee --kumbuka Bongomani ni shemejiiiiiiiiiiiiiiiii
Yamafika usikonde, tuombe Mungu

salama ndugu yangu Ken?Mbona leo umetuangusha kwenye habari za gazeti la Mwanahalisi?Umeweka sehemu tu ya mahojiano ya Mwakyembe na waandishi wa habari.Na hiyo habari ya Ngeleja na zITTO NAYO UMEIWEKA NUSU TU.usitutose ndugu yangu..........
(Anonymous)
Yamefika kortini - Peperuzi kesho ucheke.........

Posted by Picasa

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu