Saturday, March 28, 2009

CHANNEL TEN TAKES NEW WINGS

Tunapenda kuwatangazia watazamaji wetu wa CHANNEL TEN na wasikilizaji wa MAGIC FM kwa njia ya satellite kuwa sasa wanaweza kuyapata matangazo yetu kupitia satellite ya INTELSAT 906 64E, Masafa ya 3905.63MHZ, Symbol Rate 2.84835Msps na FEC 2/3 Horizontal.

Tangazo hili linawahusu wale tu wanatumia Satelite dish kuyapata matangazo yetu.

Kwa wanaotumia Antena za kawaida kwa TV na wasikilizaji wa Radio hakutakuwa na mabadiliko.

technical@amgl.co.tz.

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu