Sunday, March 2, 2008

Gumzo la jiji na kweli weka jina na litumie jina kwa matendo kwani ni matendo yako tu tutakujua unachofanya

Hapa watoto wakiwa katika foleni ili kopata mikate na maziwa, kila jumapili wanakuja hapo

Talk of the town

Watoto na wazazi wao wkiwa na nyuso za matumaini

Mtoto akiweka mkate na maziwa ndani ya mfuko huku akisema 'Mungu mpe zaidi aliyetupa sisi

na wape moyo wengine wawe kama yeye'

Huu ni mfano kwa wale wanapenda kuweka majina yao juu pale wanapotoa kidogo
kwa wasiojiweza

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu