Sunday, March 2, 2008

Mwanafunzi UDSM ajiua kwa kunyimwa shahada

HABARI Kumbe inawezekana ::: Urejeshaji fedha BoT utumike kama ushahidi mahakamani ::: Watoto 11, 000 wa mazingira magumu wasaidiwa ::: Shein aagiza wanaowatia mimba wanafunzi wakamatwe ::: Majambazi Geita walazimisha mwanakijiji awaonyeshe matajiri ::: Askofu wa Cantebury ampa kazi nzito Mtetemela ::: Wachimbaji wadogo Mara kutengewa maeneo ::: Kata 20 zafikiwa na mradi wa Ukimwi ::: Mapadri watakiwa kuwa kioo cha jamii ::: Bi Kidude afunika ‘birthday’ ya Jahazi ::: Kilimanjaro marathon kutimua vumbi leo ::: Hoteli ya Peacock yaipiga jeki CAJAtz ::: Waogeleaji Tanzania, Congo majaribuni ::: Uzembe wa wakili waiangamiza TanRoads ::: Naibu Waziri asikitishwa na mafisadi MSD ::: Mwekezaji Mponde aomba msaada kwa Waziri Msolla ::: IMF yaishauri Tanzania kufuta kodi baadhi ya bidhaa ::: Wanafunzi wataka JK kuwadhibiti mafisadi ::: Dk. Shein adanganywa ::: Tanzania yajitoa michuano ya gofu ::: Cheka, Matumla kumaliza ubishi kesho ::: Simba: Tupo Fiti ::: Prisons yawania kilele ::: Pinda awasha moto ::: Muhimbili yakanusha kufa kwa watoto ::: Richmond yawatia nyongo Tanesco ::: Mafisadi wa BoT warudisha bilioni 50/- ::: Naibu Meya kutoa kadi za Simba ::: Kampuni zatakiwa kudhamini kazi za mikono ::: Soka Kigoma kurekebisha katiba kesho :::

Watoto wa kicheza na nyoka wakati wakicheza ngoma katika mapokezi ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alipowasili leo katika kijiji cha Inyonga, wilayani Mpanda.
HABARI INAYOONGOZA LEO::
Dk. Shein adanganywa
UONGOZI wa Kiwanda Samaki cha Prime Catch kilichopo Musoma, juzi uliwafungia ndani wafanyakazi wake na kushindwa kumuona
Jumapili Mar 02, 2008

Siasa za Tanzania hivi karibuni zimetawaliwa na kejeli za vikaragosi kupinga ufisadi kama inavyoonyeshwa na wanafunzi wa chuo Kikuu mjini Mbeya wakiwa katika maandamano.
Kukosekana kwa muafaka Kenya ingelipuka kwa vita
Mwanafunzi Chuo Kikuu Dar ajiua kwa kunyimwa shahada
Mchumi ashauri fedha zilizoibwa BoT zirejeshwe na riba
Mgodi wa Resolute waongezwa muda kuchimba dhahabu Nzega
Soko jipya Dar kujengwa kwa Sh250milioni Makumbusho
Chama cha upinzani chajadili utaratibu wa kupiga kura
Watoto yatima waombewa fedha badala ya semina
Mafisadi warudisha Sh 50 bilioni za BoT


Posted by Picasa

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu