Monday, March 3, 2008

Mwakyembe defies CCM boss



2.Makammu wa Rais Dk Ali Mohamed Shein,Mkuu wa Mkoa wa Mara Luteni Kanali Mstaafu Issa Mchibya na Mama Mwanamwema Shein wakipata maelezo kuhusu upandaji wa viazi bora kutoka kwa mkuu wa gereza la kiabakari ACP,Deogratius Rwanga wakati Dk Shein alipotembelea greza hilo leo kuona shughuli zinazofanyika hapo.
HABARI INAYOONGOZA LEO::
Mwafaka wa CCM, CUF bado kitendawili
.Maalim Seif adai mwafaka mwezi huu .Makamba hajui lini mwafaka utapatikana .Chiligati umakini unahitajika kupata ufumbuzi
HABARI Mwekezaji TRL apewe muda atekeleze ahadi ::: Matamshi ya vijana wa CUF kuhusu Mwafaka si sahihi ::: Pinda awaasa viongozi kutojilimbikizia mali ::: Wizara kupitia upya utendaji Bodi ya Mikopo ::: Mwenyekiti ashangaa malalamiko ya viongozi ::: Nyumba karibu na Oldonyo Lengai hatarini kufunikwa na majivu ::: RC asimamia kufukuzwa viongozi wa wafanyabiashara ::: Simba, Yanga zasonga mbele ::: Walimu wadai wamepunjwa ::: Pinda awaasa viongozi kutojilimbikizia mali ::: Mwafaka wa CCM, CUF bado kitendawili ::: Kumbe inawezekana ::: Urejeshaji fedha BoT utumike kama ushahidi mahakamani ::: Watoto 11, 000 wa mazingira magumu wasaidiwa ::: Shein aagiza wanaowatia mimba wanafunzi wakamatwe ::: Majambazi Geita walazimisha mwanakijiji awaonyeshe matajiri ::: Askofu wa Cantebury ampa kazi nzito Mtetemela ::: Wachimbaji wadogo Mara kutengewa maeneo ::: Kata 20 zafikiwa na mradi wa Ukimwi ::: Mapadri watakiwa kuwa kioo cha jamii ::: Bi Kidude afunika ‘birthday’ ya Jahazi ::: Kilimanjaro marathon kutimua vumbi leo ::: Hoteli ya Peacock yaipiga jeki CAJAtz ::: Waogeleaji Tanzania, Congo majaribuni ::: Uzembe wa wakili waiangamiza TanRoads ::: Naibu Waziri asikitishwa na mafisadi MSD ::: Mwekezaji Mponde aomba msaada kwa Waziri Msolla ::: IMF yaishauri Tanzania kufuta kodi baadhi ya bidhaa ::: Wanafunzi wataka JK kuwadhibiti mafisadi ::: Dk. Shein adanganywa :::

Jumatatu Mar 03, 2008

Posted by Picasa

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu