Sunday, March 2, 2008

Mungu anapokupa nawe wape wasiokuwa na uwezo Bila kupiga kelele kwani anakuona



Hiyo foleni si ya Hospital bali ni watoto na walewasiojiweza kila jumapili wanapewa

mikate midogo minne na maziwa tanga fresh moja

Mungu alimpa huyo mwenye Talk of the town naye si mchoyo akagawa chake kidogo

na kingine kuwapa watu kama elfu moja kila jumapili, inataka moyo

Ombi langu mpeni nguvu talk of the town ili kesho awape watoto elfu mbili

Talk of the town ipo sambamba na kituo cha mafuta cha bp msasani karibu na kituo cha basi kwa

baba wa taifa

Posted by Picasa

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu