Wednesday, October 24, 2012

Safari ndefu toka Dar es salaam mpaka Sweden

Poleni wadau wa kennedytz kwa kukosa habari za Tanzania kwa mapana
Nipo Swedeni kikazi kidogo, Nikirudi Dar wadau libeneka kama kawa

Wenu
         Kennedy

Saturday, October 20, 2012

Habari za Tanzania kwa kina toka TBC

Vurugu Dar na Zanzabar

Vurugu za Dar via Star Tv

Friday, October 19, 2012

Ponda na wenzake kizimbani via channel Ten

Thursday, October 18, 2012

NASA's Mars Curiosity Rover Report #10

Ukijua kupanga unayoongea basi ni raha

Habari za Tanzania kwa kina toka TBC

Maziko ya aliyekuwa kamanda wa polisi mwanza mjini moshi

Wednesday, October 17, 2012

Habari za Tanzania kwa kina toka TBC

Tuesday, October 16, 2012

Habari za Tanzania kwa kina toka TBC

Saturday, October 13, 2012

Habari za Tanzania kwa kina toka TBC

Friday, October 12, 2012

Habari za Tanzania kwa kina toka TBC

Habari za Tanzania kwa kina toka TBC

Habari za Tanzania kwa kina toka TBC

5 die in Mombasa-Voi highway accident

Thursday, October 11, 2012

Siku ya mtoto wa kike Duniani via TBC

Habari za Tanzania kwa kina toka TBC

Mseto wa Taarifa za Kaunti

Wednesday, October 10, 2012

Habari za Tanzania kwa kina toka TBC

Habari za Tanzania kwa kina toka TBC

Tuesday, October 9, 2012

Habari za Tanzania kwa kina toka TBC

The Scottish Living Wage

Monday, October 8, 2012

Habari za Tanzania kwa kina toka TBC

Saturday, October 6, 2012

Orijino komedi na madkatari wa bongo

Je tunakipa kiswahili kipaumbele au ndio ...

Thursday, October 4, 2012

Habari za Tanzania kwa kina Simba na Yanga

Habari za Tanzania kwa kina toka TBC

Wednesday, October 3, 2012

Je Tanzania kuwa na vyama kibao ni ujanja ua ndio .....

Mbio za kuwania urais nchini Kenya

Habari za Tanzania kwa kina toka TBC

Fake Phones Switch Off Continues

News:KTN PRIME OCTOBER 2

Tuesday, October 2, 2012

Habari za Tanzania kwa kina toka TBC

Monday, October 1, 2012

Najipongeza Mwenyewe kwa kusherekea siku ya kuzaliwa




Bado nipo hapa Dunia nikifanya yale niliyopangiwa niyafanye hapa Duniani
Ingawa maisha ni mapambano basi nami nipo kwenye mapambano ya maisha
Ili nami nifanye kazi zote kwa nguvu na mikono yangu hata kama wewe hutaki lakini
mimi ni mimi na wewe ni wewe.

Pata Neno la Mungu hapa hapa

Habari za Tanzania kwa kina toka TBC

Who Owns Kenya: Kenya-Re

Primavera AC Milan 4-0 Brescia 29-09-2012

Saturday, September 29, 2012

Habari za Tanzania kwa kina toka TBC

Friday, September 28, 2012

Cheka kiduchu na nunua yako

Habari za Tanzania kwa kina toka TBC

Thursday, September 27, 2012

Wizi Mtupu

Clarification winss The eurolotto Netherland has awarded your email a cash of Two Million Dollar in a random email world progamme, attached to qualification number NL: 3-6-17-24-37-45 The objectives is to make a notable changes in the standard of living world wide.To claim your award call and email contact address to the department below. Officer in charge: MR. JAN VANSLOT Tele: 0031-685-142-180 Email to: paydept23@live.nl Necessary information: Name, Age, Country,Tel Regards Ms.Rata koro,

Wednesday, September 26, 2012

Tumshukuru Mungu

Habari za Tanzania kwa kina toka TBC

Tuesday, September 25, 2012

Tumshukuru Mungu

Habari za Tanzania kwa kina toka TBC

Kibonzo ITV Sept 24-25

Saturday, September 22, 2012

Pata Neno la Mungu hapa hapa

Habari za Tanzania kwa kina toka TBC

Friday, September 21, 2012

Pata Neno la Mungu na mafunzo

Habari za Tanzania kwa kina toka TBC

Pata Neno la Mungu hapa hapa

Thursday, September 20, 2012

Galaxy na bonge la song Mama -Dogo wa mbezi beach

Galax - Dogo wa Mbezi hii

Habari za Tanzania kwa kina toka TBC

Wednesday, September 19, 2012

Studio iliyotolewa na JK yatakiwa kufanya kazi

Habari za Tanzania kwa kina toka TBC

News:Facts- Tana Clashes

Tuesday, September 18, 2012

Wizara ya elimu yajitetea na mfumo mpya wa kuchagua majibu

Habari mchanganyiko toka TBC Taifa

Monday, September 17, 2012

Habari za Tanzania kwa kina toka TBC

KTN Prime 16th September, 2012

Saturday, September 15, 2012

Ndugu yangu amka amka sasa.

Habari za Tanzania kwa kina toka TBC

Habari za Tanzania kwa kina toka Channel Ten

Friday, September 14, 2012

Habari mchanganyiko toka TBC Taifa

Thursday, September 13, 2012

Habari za Tanzania kwa kina toka TBC

Ghodhana Arrested, Charged With Incitement in Tana

Wednesday, September 12, 2012

CBM- Together we can do more. Karibu Tanzania tena na tena

https://www.cbm.org.au/donate/davids-fundraiser-for-sight/1075/ or http://nintendo3dsblog.com/

Wana Habari walipoandamana

Pata habari za ndani via TBC hapa hapa

Kopi endi Pesti Fid

News:EAC Intergration

Police in tough talk amid fresh violence

Tuesday, September 11, 2012

Bondia lazima upigwe usoni ili ukomae

Wana habari wa pwani kufanya maandamano ya amani

Na John Gagarini, Kibaha RAIS wa Chama cha Waandishi wa Habari Nchini (UTPC) Bw Keneth Simbaya kesho anatarajiwa kuwa wa mgeni rasmi kwenye maandamano ya amani yatakayofanywa na klabu ya waandishi wa habari mkoa wa Pwani (CRPC) kupinga mauaji ya aliyekuwa mwandishi wa Chanel Ten mkoani Iringa Bw Daud Mwangosi. Hayo yalisemwa jana na mwenyekiti wa chama cha waandishi wa Habari mkoani Pwani CRPC Bw Masau Bwire alipoonge na mwandishi wa habari hizi mjini Kibaha na kusema kuwa maandamano hayo ambayo yalikuwa yafanyike jana yalishindwa kufanyika baada ya Jeshi la Polisi mkoani Pwani kusema kuwa walikiuka taratibu za maandamano. Bw Bwire alisema kuwa Jeshi la polisi waliwazuia kwa madai kuwa taratibu za maandamano kisheria zinataka mwombaji aombe muda wa saa 48 ambapo wao waliomba jana hivyo kushindwa kukidhi vigezo hivyo vya kisheria. “Tuliamua kutii sheria kwa kuhairisha maandamano hayo licha ya kuwa wenzetu mikoani walifanya jana na sisi kesho tutafanya hivyo waandishi wasiwe na wasiwasi, na tunatarajia mgeni rasmi anatarajiwa kuwa ni Rais wa UTPC Bw Simbaya hivyo tunaamini maandamano hayo yatakuwa na nguvu yaiana yake,” alisema Bw Bwire. Alisema lengo la maandamano hayo ni kuungana na waandishi kote nchini kupinga mauaji hayo yaliyofanywa na polisi jambo ambalo limeleta mtafaruku mkubwa baina ya waandishi na jeshi hilo. “Kwa kweli inasikitisha kuona mwenzetu akiuwawa kwenye masuala ya kisiasa akiwa anatekeleza majukumu yake ya kuuhabarisha umma nini kinachoendelea,” alisema Bw Bwire. Mwenyekiti huyo wa CRPC alisema kuwa maandamano hayo yatapita kwenye maeneo kadhaa ikiwa ni pamoja na barabara kuu ya Morogoro, barabara ya ofisi ya mkuu wa mkoa, mkuu wa wilaya, sokoni, stendi, sheli na kuishia viwanja vya mpira wa miguu vya Bwawani Maili Moja wilayani Kibaha. Aliwataka waandishi wa habari kujitokeza kwa wingi kwenye maandamano hayo ili kuonyesha umoja wao na kutetea maslahi yao na kuungana na familia ya marehemu katika kumuenzi. Aidha alisema kuwa katika maandamano hayo mgeni rasmi atatoa tamko la UTPC na CRPC nayo itatoa tamko la mkoa wa Pwani. Mwisho.

DAR KUANZA KUTUMIA TRENI KUSAFIRISHA ABIRIA MJINI

Monday, September 10, 2012

MBIO ZA MWENGE NI CHACHU YA MAENDELEO NA UFIKA KILA KONA YA TANZANIA

Tamaa ya ungozi katika makanisa ni hatari katika imani

Teachers strike still on {Kenya}

Habari za Tanzania via TBC

Chadema kutoa tamko leo kutokana na fujo za Iringa

Mahojiano na Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad

Saturday, September 8, 2012

Hali ya hewa na usalama ndani ya Tanzania

Habari za Tanzania via TBC

JF Kennedy Rice Speech on NASA TV Sept. 12

Friday, September 7, 2012

Waziri wa mambo ya ndani apigwa kombora

Habari mchanganyiko toka TBC Taifa

Orijono Komedi na Laprofessa

Yes, I can

Thursday, September 6, 2012

Yanayoendelea baada ya mauaji ya mwandishi wa channel Ten

Wandishi wa habari watakiwa kutoshiriki kazi zote za jeshi la polisi!

Wednesday, September 5, 2012

Michelle Obama Speech To Democratic National Convention

Teacher Strike

Habari za michezo gumzo kidogo na mapitio ya magazeti toka TBC

Children Have Big Dreams

Mazishi ya mwakilishi wa channel Ten Iringa.

Headteachers Roughed Up in Teachers' Strike

Tuesday, September 4, 2012

Kifo cha mwanahabari wa channel Ten Iringa.

Kifo cha mwanahabari wa channel Ten Iringa.

Kifo cha mwanahabari wa channel Ten Iringa.

2 injured as police, teachers clash

Monday, September 3, 2012

Siasa na fujo zasababisha kifo cha mwandishi wa habari wa channel Ten

Lusinde na uchaguzi wa 2015

Wabunge wa Afrika mashariki toka TZ

Saturday, September 1, 2012

Mwanamke mwenye nyota ya simba Mariam Migomba.

Wakuvanga na uzinduzi wa albam yake TBC

Friday, August 31, 2012

Wananchi na lawama kwa zima moto

Habari za Tanzania via Star Tv

Yanga yaleta jembe lingine

Thursday, August 30, 2012

Vita ya madawa ya kulevya Tanzania

Maandamano ya chadema moro na mikasa yake

Wednesday, August 29, 2012

Vituko Show via Channel Ten



Pata flava tofauti za ucheshi hapa hapa Kennedytz -" usiguse koki utalowaa wewee"

JM KIKWETE NDANI YA BBC SWAHILI TV.

Angalia hapa then niulize nikupe jibu.

Tuesday, August 28, 2012

Chadema waandamana Morogoro

Monday, August 27, 2012

Habari ya Tarehe 17-8-2012.

Orijino Comedi na profesa kununua lambalamba

Sensa ya makazi Tanzania

MGOGORO WA MPAKA ZIWA NYASA TANZANIA

Wednesday, August 22, 2012

Government Disowns Agreement With Teachers

Tuesday, August 21, 2012

Talking about Tanzania Technology Eco System- Episodes-1

Sunday, August 19, 2012

Talk about Tanzania Technology Eco System

Saturday, August 18, 2012

KTN Prime News - Full Bulletin

Thursday, August 16, 2012

Wamarekani kujitolea ndani ya Tanzanai katika kazi za jamii

Mwalimu anafundisha madalasa mawili ndani ya dalasa moja

Tuesday, August 14, 2012

Two dead, 9 injured in Mombasa Road Accident

Monday, August 13, 2012

TCRA INAVYOJIPANGA NA MFUMO WA DIGITAL.

JK na mafunzo ya kilimo bora kwa wenzetu

Ulimboka ndani ya nyumba

Friday, August 10, 2012

Mtoto agongwa akitokea shuleni

Kesi ya mahalu na wenzake

Highlights AC Milan 1-5 Real Madrid 08-08-2012

Jungu la Mwanaspoti 9th August 2012

Tuesday, August 7, 2012

Askari polisi aliyejinyonga Morogoro

Habari za Tanzania via Star Tv #2

Habari za Tanzania via Star Tv

KTN Prime News August 6, 2012

Kibaki Succession Live Studio Analysis

Saturday, August 4, 2012

RWANDA WAKANUSHA KUBEBESHWA LAWAMA

Tanzania na mipaka ya baharini

Truthmeter 03/08/12

KTN Prime 3rd August 2012.

Friday, August 3, 2012

Habari za Tanzania via Channel Ten

KTN Prime 2nd August 2012.

Politicians Out On Vote Hunting

Wednesday, August 1, 2012

KTN PRIME JULY 31, 2012

Wabunge na vijembe vya kisiasa

Tuesday, July 31, 2012

Bunge la Tanzania Sakata la kamati za bunge na kitu kidogo

ARSENAL VISITS SAVE THE CHILDREN PROJECT IN CHINA

Mgomo wa walimuTanzania.

Monday, July 30, 2012

Azam vs Yanga Angalia goli la pili la yanga dhidi ya Azam

Friday, July 27, 2012

Raila Odinga: Sitomchukulia Miguna Miguna hatua

KTN Prime News July 26, 2012

Monday, July 23, 2012

Habari za Tanzania via Channel Ten

Sunday, July 22, 2012

Jamani Toa kile kidogo ulichonacho kumpa help ndugu yetu

Friday, July 20, 2012

Habari za Tanzania via TBC

BAADA YA MELI KUZAMA SERIKALI ILIJIPANGA VIPI

How to Save a Child's Life

Thursday, July 19, 2012

TBC na habari za kuzama meli Zanzibari

Habari za kuzama meli zanzibari

Kuzama kwa meli ya Zanzibari via TBC

Habari za kuzama kwa meli kwa mapana na yaliyotokea bungeni

Wednesday, July 18, 2012

Habari za Tanzania via Star Tv

Tuesday, July 17, 2012

Sakata la ngumi kati ya chadema na ccm

Habari za Tanzania via TBC

Wednesday, July 11, 2012

Habari za Tanzania via TBC

Bomoa Bomoa ya Dar

Tuesday, July 10, 2012

Habari za Tanzania..

Waziri wa mambo ya ndani.

Friday, July 6, 2012

Kutekwa kwa Dr. Ulimboka

Habari za Tanzania via Star TV

Thursday, July 5, 2012

MNYIKA NA SIASA YA TANZANAI NA MALENGO YAKE KAMA KIONGOZI BORA NA SI BO...




Katika viongozi vijana ninaowafuatilia kwa karibu basi mmoja ni mbunge wa ubungo.
Kila atua anayopiga katika siasa kwangu ni kile kilicho bora katika safari yake ya siasa
Sio kwa vile yupo chama fulani, ninachovutiwa ni mikakati na msimamo wa kuchambua masuala kwa mapana wigo na upeo.

Mimi si mfuasi wa chama aliko bali ni mtu nayewafuata viongozi wenye msimamo na mikakati endelezi kama  mbunge wa ubungo  Mnyika.

Nampongeza yeye na viongozi wenye mfano kama wake, kwani ubora wa kiongozi ni kulijenga taifa na si kubomoa.

WABUNGE WAKICHANGIA BAJETI NDANI YA BUNGE LA 2012

Tuesday, July 3, 2012

Yaliyosemwa na Mbunge wa mbeya Mbilinyi au Sugu dhidi ya serikali



Pata yote yanayoendelea bungeni kupitia hapa hapa kennedytz -"usiguse koki utalowa wewe"

Eng- Stella Manyanya na lawama kwa madaktari kusababisha vifo

Ndani ya bunge na vishoka toka kwa Mhe Moses Joseph NCCR Mageuzi

Monday, July 2, 2012

Mbunge mwingine atolewa nje ya bunge.

Tindu Lissu alipokutana na mwenyekiti mtemi na mwenye msimamo bungeni.

Sugu na sakata la Ulimboka bungeni.

Habari mchanganyiko toka Tanzania

Thursday, June 28, 2012

Mgomo wa Madaktari Muhimbili



Huduma za jamii karibu zote zimesimama katika hospitali ya muhimbili. Madokta bado wanaendelea kupinga maagizo ya mahakama yaliyoelekeza waende kazini mara moja.

Serikali yachukizwa na tukio la kijasusi alilofanyiwa Dokta Steven Ulimboka



Pinda achukizwa na tukio la kijasusi kwa Daktari Steven Ulimboka. Wanajeshi na hospital ya lugalo kuwapokea  wagonjwa kwa sasa.

Pinda asema - Litakalo kuwa na liwe

Sakata la daktari kutekwa na kupigwa DKT STEVEN ULIMBOKA


Watu wasiojulikana walimteka mwenyekiti wa madaktari Stephen nakumpiga kumuumiza vibaya sana.

Wednesday, June 27, 2012

Ndani ya bunge na mjadala wa bajeti ya ofisi ya waziri mkuu.

Mbunge anayepeleka matatizo ya jimbo lake

Fedha za vigogo katika benki za nje.

Kinachoendelea kwenye Mgomo wa madokta ndani ya Tanzanai.

JanB ft Emmie-Playa Haters

Tuesday, June 26, 2012

Mgomo wa madokta Tanzania

Saturday, June 23, 2012

The 2012 World Marathon Challenge

Thursday, June 21, 2012

Bungeni na wabunge

Spika atoa somo ndani ya bunge la Tanzania

Tuesday, June 19, 2012

Mbunge asema kiwango cha elimu chake na mwenzake nisawa

Wabunge vijana katika bunge la sasa Tanzanaia



Sifa ya mwanasiasa ni kujua kuongea hebu tupia jicho na sikio lako hapa

Yaliyotokea Bungeni Mnyika aliposema JK ni m....

Monday, June 18, 2012

Habari za Tanzania via Star Tv

Wednesday, June 13, 2012

Habari mchanganyiko toka channel Ten

Monday, June 11, 2012

PATA HABARI MCHANGANYIKO TOKA TBC TAIFA


RAIS KIKWETE AWAAPISHA MABALOZI WAPYA

Habari mchanganyiko toka channel Ten


MWILI WA MAKANI WAAGWA . -KIFO CHA SAITOTI.- UHARIBIFU WA MAZINGIRA- VIWANJA VYA GEZAULOLE.

Twaweza na sisi.

Habari za Tanzania via STAR TV

Friday, June 8, 2012

Habari za Tanania via star tv

Mshikeshike kati ya NECTA na Waislam

Thursday, June 7, 2012

Habari za Tanzania via channel Ten

Miundombinu ndani ya Dar

Mzee Mwinyi na msaada

Miundombinu ndani ya Dar

Wednesday, June 6, 2012

Wakaguzi na wasambazaji wa madawa EAC

Vyombo vya habari na mchango wake wa kudumisha Amani

Viongozi wa CUF Katika mazishi ya mwasisi Mwanza

Tume yasema TBS inafanya kazi chini ya viwango

Ajali za magari via Star Tv

Tuesday, June 5, 2012

JanB ft Obi Elinami- Pretty Girl Official Video

Saturday, June 2, 2012

UBABE KATIKA SIASA

Friday, June 1, 2012

Orijino komedi baada ya likizo

Tuesday, May 29, 2012

Habari za Tanzania via Star Tv

Viongozi wa iliyokuwa UDA wafikishwa kizimbani

Shule za Tanzania na tekenolojia ya digital

Monday, May 28, 2012

Vurugu za Zanzibari na utata wa kisiasa

Habari za Tanzania via Star TV

Saturday, May 26, 2012

Mbunge Chadema Selasini anaendelea vizuri

Friday, May 25, 2012

Matembezi ya amani ya Chadema yapigwa STOP

Wauguzi wagoma Mara

Thursday, May 24, 2012

Kesi ya kumpinga Mnyika yatupwa

Wednesday, May 23, 2012

VITA DHIDI YA UFUJAJI FEDHA ZA WAZAWA

Channel Ten TCRA.

Ujenzi wa miundombinu ndani ya Tanzania

Tuesday, May 22, 2012

Habari za Tanzania via STAR TV

Profesa Shivji na Mchakato wa dhana na nafasi ya katiba kwa watanzania

Saturday, May 19, 2012

ATC na kufa na kufuka kila wakati

Habari za Tanzania via Star Tv

Friday, May 18, 2012

Patric Mafisango na safari ya maisha iliyofika mwisho.

Thursday, May 17, 2012

Mungu anapojionesha kupitia kwa anayemwamini naye ni TB Joshua.

Standard for life - TB Joshua.

Mkuu wa mkoa wa mwanza apewa siku 14.

Sakata lakukatana mapanga Iringa latinga tena mahakamani

Wednesday, May 16, 2012

Mwakyembe na wizara ya uchukuzi

Tibaijuka na Bomoa Bomao ya ufukweni mwa bahari hindi

Tuesday, May 15, 2012

DOMINIQUE wins the Nashville's Next Star Grand Finals at Rooster's BBQ 0...

Mbunge wa Iringa mjini anusurika kukatwa mapanga.

ANALOG TO DIGITAL TCRA.

Monday, May 14, 2012

Channel Ten na fungu la kumi

Mpoki Kama Mpoki akiwa kazini

Saturday, May 12, 2012

Habari za Tanzania via Star Tv

Friday, May 11, 2012

Overcome your doubt by TB Joshua

Thursday, May 10, 2012

Je Maendeleo ya shule zetu yako mikononi mwa nani!

Thank You

Wednesday, May 9, 2012

Habari za Tanzania via TBC-

Mpoki -Ukiwa na kipaji basi kwenye kazi yako wewe ni utelezi na furaha

Saturday, May 5, 2012

Kuchukua Sheria mkononi kunakiuka haki za binaadamu

Basi dogo la Tigo Lagongana uso kwa uso na fuso

Friday, May 4, 2012

Rais Jakaya Mrisho Kikwete ameteua mawaziri wapya na kuwabadili wengine

Rais Jakaya Mrisho Kikwete ameteua mawaziri wapya na kuwabadili wengine

Habari za Tanzania viaStar Tv Mwanza

Thursday, May 3, 2012

Kesi ya kupinga ubunge wa Makongoro Mahanga yatupwa

Wednesday, May 2, 2012

Miongozo siku zote uepusha matatizo tazama hii kama wewe blogger


Be Honest and Fair

Bloggers should be honest and fair in gathering, reporting and interpreting information.
Bloggers should:
• Never plagiarize.
• Identify and link to sources whenever feasible. The public is entitled to as much information as possible on sources’ reliability.
• Make certain that blog entry, quotations, headlines, photos and all other content do not misrepresent. They should not oversimplify or highlight incidents out of context.
• Never distort the content of photos without disclosing what has been changed. Image enhancement is only acceptable for technical clarity. Label montages and photo illustrations.
• Never publish information they know is inaccurate — and if publishing questionable information, make it clear it’s in doubt.
• Distinguish between advocacy, commentary and factual information. Even advocacy writing and commentary should not misrepresent fact or context.
• Distinguish factual information and commentary from advertising and shun hybrids that blur the lines between the two.



Minimize Harm

Ethical bloggers treat sources and subjects as human beings deserving of respect.
Bloggers should:
• Show compassion for those who may be affected adversely by Weblog content. Use special sensitivity when dealing with children and inexperienced sources or subjects.
• Be sensitive when seeking or using interviews or photographs of those affected by tragedy or grief.
• Recognize that gathering and reporting information may cause harm or discomfort. Pursuit of information is not a license for arrogance.
• Recognize that private people have a greater right to control information about themselves than do public officials and others who seek power, influence or attention. Only an overriding public need can justify intrusion into anyone’s privacy.
• Show good taste. Avoid pandering to lurid curiosity.
Be cautious about identifying juvenile suspects, victims of sex crimes and criminal suspects before the formal filing of charges.





Be Accountable
Bloggers should:
• Admit mistakes and correct them promptly.
• Explain each blog’s mission and invite dialogue with the public over its content and the bloggers’ conduct.
• Disclose conflicts of interest, affiliations, activities and personal agendas.
• Deny favored treatment to advertisers and special interests and resist their pressure to influence content. When exceptions are made, disclose them fully to readers.
• Be wary of sources offering information for favors. When accepting such information, disclose the favors.
• Expose unethical practices of other bloggers.
• Abide by the same high standards to which they hold others.

Source: Cyber Journalist


CLICK HAPO CHINI KUIFUATA LINK

ZINGATIA: BLOGGERS’ CODE OF ETHICS



Read more: ZINGATIA: BLOGGERS’ CODE OF ETHICS - BongoCelebrity / HABARI NI HABARI

Tuesday, May 1, 2012

Jeshi la polisi litatoa milioni kumi ukiwataja waliomkata mapanga mwana...

Monday, April 30, 2012

Mbunge wa Sumbawanga mjini apoteza kiti chake

Saturday, April 28, 2012

Kesi ya kumpinga mbunge wa chadema Tundu Lissu yatupiliwa mbali na mahaka...

Friday, April 27, 2012

JK kapewa kibali cha kuvunja balaza la mawaziri

Mtoto mwenye viungo vya ajabu azaliwa Tanzania

Thursday, April 26, 2012

Chadema na elimu ya katiba yaelekeza lawama kwa serikali.

Wednesday, April 25, 2012

Slaa kukamatwa kwa kosa la uchochezi

JOSEPH OWINO AND SHAFFIH DAUDA

R. Mengi achaguliwa kuwa kiongozi bora aliyejitosa kwenye jamii- Toka ch...

Kamati ya bunge inapoikosoa wizara

Tuesday, April 24, 2012

Uchumi wa Tanzania

Pata habari za ndani ya Tanzania via TBC



Nguzo za umeme wa high voltage zaidi 20 zimeangukia magri jijini Dar

Habari za Bungeni via TBC Taifa

Spika awataka wabunge wasome kanuni kuepusha malumbano.

Pinda akilfunga kikao cha bunge Dodoma

Saturday, April 21, 2012

Kupambana na rushwa.

Wabunge wapewa pongezi

Friday, April 20, 2012

Bungeni wabunge na kuiwajibisha serikali

Orijino komedi na ndoa ndoano

Wasomali wateka meli wabambwa ndani ya Tanzania.

Thursday, April 19, 2012

Sikiliza Kipindi hiki kinachoendeshwa na Magic Fm si mchezo

Wednesday, April 18, 2012

Pata habari za Tanzania via Star Tv

Tuesday, April 17, 2012

Kill music award 2012-Mwimbaji bora wa kike

Kill music award 2012-.Mtumbuizaji Bora wa kiume

Monday, April 16, 2012

Kill music award 2012 Nyimbo bora ya zouk

Nyimbo bora ya reggae Tanzanaia Kill Music Awards 2012

Friday, April 13, 2012

Mchakato wa katiba na safari iliyoanza kwa kiapo kwa wanatume

Life in Tumaco, Colombia - Aida

Mvua yabomoa nyumba na kuwacha watu bila makazi

Thursday, April 12, 2012

Chadema na wito wa katiba kwa watanzania

Chadema na wito wa katiba kwa watanzania

The President's Club

Wednesday, April 11, 2012

HABARI NI HABARI NDUGU YANGU

HABARI NI HABARI NDUGU YANGU

LULU afikishwa mahakamani kwa kua bila kukusudia

Tuesday, April 10, 2012

Mazishi ya kanumba na wingi wa watu walikwenda kumsindikiza

Mazishi ya kanumba kipenzi cha watu

Sunday, April 8, 2012

ANAPAKO YESU foto za JESUS

Kanumba na kifo kilchotuwacha vinywa wazi

Thursday, April 5, 2012

Wanaigeria na mdawa ya kulevya

Tuesday, April 3, 2012

TCRA

Mjini Shule Dola feki zakamatwa Mwenge

Wabunge waliopigwa wanendelea na matibabu muhimbili

Chadema na ushindi wa kujivunia

Chadema na ushindi wa kujivunia

Monday, April 2, 2012

Careers at Save the Children UK

Orijino komedi ya TBC Je wajua au unasikia tuuuu

Mbunge wa Chadema atangazwa mshindi Arumeru Mashariki

Sunday, April 1, 2012

Mengi ameshatoa bilioni moja na ushee kwa vikoba

Mengi na hekima za watu kutembelea makampuni yake.

Saturday, March 31, 2012

Chadema Arumeru Mashariki

CCM Arumeru mashariki

habari za Tanzania via channel Ten

Wednesday, March 28, 2012

TBC kutangaza vipindi kwa maslai ya taifa

Tuesday, March 27, 2012

Siasa ndani ya Arumeru Mashariki

Monday, March 26, 2012

CCM na Chadema katika kampeni

Friday, March 23, 2012

Chadema Arumeru

Ujuma kwa mjane lafika wizarani.

Chadema yaendelea kuomba wachaguliwe Arumeru Mashariki

CCM Arumeru Mashariki

Thursday, March 22, 2012

Upungufu wa ajira ndani ya Tanzania

Kampeni Arumeru Mashariki Chama cha SAU chajikta katika kinyang'anyiro

Rais Jakaya Mrisho Kikwete alipowaapisha wakuu wa mikoa

Wednesday, March 21, 2012

Chadema Arumeru

Tuesday, March 20, 2012

JK ndani ya Mkutano wa kujadili Uchaguzi nadni ya Afrika

Habari za Tanzania via kennedytz 1

Habari za Tanzania via kennedytz~16

Monday, March 19, 2012

Uchaguzi wa Arumeru Mashariki na vijembe vya uraia

Arumeru mashariki -CCM wakimtetea Mgombea wake

Saturday, March 17, 2012

Secta ya elimu na info structure


Info-structure

Mwakyembe na maendeleo ya afya yake

Kipimo cha chadema Arumeru mashariki

Vishindo vya kampeni Arumeru Mashariki

Friday, March 16, 2012

Tuhuma za kutotendewa haki na jeshi la polisi

Lowassa asema yuko fiti kwa lolote.

Habari za Tanzania via kennedytz

Stop the killling for sign the petition


Sign the petition to stop the killing in Syria now!
If you have already signed, thanks for your support. Please sign and forward this msg to your friends or share with your network on Twitter or Facebook
March 15 marks a year of unrest in Syria. Children can't suffer for another year.
The killing must stop. Children have been killed in Syria. Many more have been injured.
All children, even those in armed conflicts, have rights and must be protected in line with international law.
Save the Children is calling on the UN Security Council to build on its statement demanding immediate and full humanitarian access and pass a resolution requiring an end to the killing in Syria.
Save the Children and other aid agencies are helping families who have crossed into neighboring countries.
But we need open access to reach many thousands of children and their families in Syria who are frightened and in need of medical care.
Stop the Killing! Sign our petition

Thursday, March 15, 2012

Ze comedy Baba na Mwana

Ajali Musoma na bomoa bomoa ya vibanda vya biashara visivyo rasmi

Dispatch from Lebanon


Please support save the children's petition to stop killing in Syria

Wednesday, March 14, 2012

Habari za Tanzania toka TBC Hapa hapa Kennedytz

Habari za Tanzania toka TBC hapa hapa Kennedytz

Habari za Tanzania toka TBC hapa hapa Kennedytz

Tuesday, March 13, 2012

Habari za Tanzania toka channel Ten hapa hapa Kennedytz

Habari za Tanzania toka channel Ten hapa hapa Kennedytz

Habari za Tanzania via Star Tv hapa hapa Kennedytz

Vyama vya siasa vyatakiwa kunadi sera Arumeru

Monday, March 12, 2012

Vionjo na vioja vya kampeni vimeamia Arumeru - Chadema- CUF

Kampeni za Uchaguzi mdogo zasogea Arumeri Mashariki

Rais Jakaya Mrisho Kikwete ateta na wazee March 2012

Friday, March 9, 2012

Maumivu Baraja Clip ya video yenye maumivu

Naibu waziri aibiwa morogoro



Wajanja wamemliza naibu waziri mamilioni na kutoweka na nyaraka za serekali, huku wakiziacha silaha za waziri ndani ya chumba.

Nguvu ya raia inapofanya kazi na jeshi la polisi ni kulinda amani na si ...

Madokta wenye moyo safi waendelea kuwatibu wagonjwa

mgomo wa madaktari

Thursday, March 8, 2012

Siku ya wanawake Duniani



Ben Komba/Pwani-Tanzania/3/8/2012 8:10:29

Wanawake katika mkoa wa Pwani wametakiwa kuwa chachu ya mabadiliko katika kuhakikisha wanakuwa chachu ya mabadiliko mkoani Pwani, na hasa yakipata baraka za wanawake inawezekana.

Mkuu wa mkoa wa Pwani, BI. MWANTUMU BAKAR MAHIZA ameyasema hayo wakati wa kilele cha siku ya wanawake iliyofanyik kimkoa katika wilaya ya Kisarawe yakiwa na kauli mbiu inayosema “ushiriki wa mtoto wa kike; ni chachu ya maendeleo endelevu”.

Ambapo ameongeza kuwa ikiwa kinamama wakiamua kutilia maanani elimu kwa mtoto wa kike na hasa katika kuhakikisha hapati mamba za utotoni na ndoa za umri mdogo kwa wazazi au walezi kuweka tama zao pembeni na kumkwamua motto wa kike mwenye kuhitaji elimu ili kuepukana na utegemezi.

Mkuu wa mkoa wa Pwani, BI. MAHIZA amewaonya watoto wa kike kuacha kujilengesha kwa mafataki kwa kuvaa nguo ambazo kwa makusudi ya kuvutia wanaume na hasa ikizingatiwa wanaume wana hulka ya kutamani anapoona baadhi ya maeneo ya mwili yakiwa bila staha.

Onyo hilo limefuatia baadhi ya wanafunzi wasichana wa shule ya sekondari Kibuta, iliyopo katika kata ya Kibuta, Tarafa ya Sungwi kijiji cha Kibuta kuingia kutoa burudani wakiwa wamevalia sketi zao katika makalio, na kuzaa mjadala mkubwa kwa waliohudhuria.

Awali akisoma risala ya kijiji, Mwananchi BI. FORTUNATA MAGESA ameiomba serikali kuangalia suala la huduma za jamii wilayani Kisarawe hususan katika kijiji cha Kibuta, ambapo upatikanaji wa wa huduma za maji kuwa mtihani mkubwa katika eneo lao na hivyo kuwasababishia dhiki kubwa kwao.

END.

Utawala Bora na wanafunzi wadai posho ya chakula

Wednesday, March 7, 2012

Mgomo wa Madaktari

Mgomo wa Madaktari

Habari za Tanzania via kennedytz~4

Uhakiki wa mali za viongozi wa Tanzania

Mahakama Kuu yawalejesha kazini NICOL

Wanaharakati wanapokuja juu kwa mambo ya msingi na haki kwa kila kitu

Tuesday, March 6, 2012

Madokta wasusia vikao vya makubaliano


Waziri Mkuu Mizengo Pinda amewataka madaktari kurejea katika vikao vya makubaliano

Waziri wa Ujenzi na Mkuu wa Mkoa Mbunge wa Ubungo

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na wana

Mjane Ashura Ally anawaomba msaada wa kisheria

Saturday, March 3, 2012

Save the children CEO on our Syria Campaign

Thursday, March 1, 2012

Agriculture budget allocation

Hii noma wamchoma moto kwa utapeli mikocheni.



Mbaya mkamateni lakini haki zake za kuishi mpeni. Watu waliochukizwa na tabia ya tapeli mmoja maeneo ya mikocheni, wamemtia moto na kusababisha kifo cha kufa uku akijionea mateso makali ya ukatili wa bin-adamu.

Wednesday, February 29, 2012

Mrema azungumza neno

Tuesday, February 28, 2012

Je! wewe ni mzaliwa wa Tabora- Wagonjwa na huduma duni ya afya


Zahanati ya ILOLANGULU yakosa madktari wa kuwatibu wakazi wa eneo hilo

Ugunduzi wa machimbo ya gesi Tanzania

Wizara ya ujenzi na barabara ya Namanga Arusha

Monday, February 27, 2012

ajali ya fuso na Daladala

Sunday, February 26, 2012

Tuzo ya heshima kwa Mama Maria Nyerere





Wake wa marais wastafu mama Siti Mwinyi na Mama Anna Mkapa waki mpatia Tuzo ya miaka hamsini ya uhuru wa Tanzania Mama Maria Nyerere IKIWA ni ishara ya kutambua mchango wake katiaka kumsaidia Baba wa Taifa Mwalimu Jk Nyerere kuleta uhuru wa tanzania zawadi hiyo walitoa kwaniaba ya kikundi cha wake wa viongozi shughuli hiyo ilifanyikia msasani nyumbani kwa mwalimu nyerere jana

Mwenyekiti wa kikundi cha wake wa viongozi ambaye ni mke wa Waziri mkuu Tunu Pinda akimshukuru mweji wao mama nyerere kwaku wapokea na kukubali zawadi yao

Wake waviongozi wakiwa kila mmja anapiga picha ya pamoja na mama nyerere aliye vaa nguo nyekundu ni mke wa Makamu wa Rais Zakia Bilal na aliye mshika mkono mama mama nyerere ni Mama Mashiba

Mke wa katibu mkuu wakatibu mkuu mstafu wa ccm Mama makamba akimvisha mama nyerere zawadi ya Bangili

Picha ya pamoja baada shughuli kumalizika picha zote na chris mfinanga

''Sizitaki mbichi hizi'' Spika kutogombea ubenge tena katika jimbo la njombe

Saturday, February 25, 2012

Habari za Tanzania toka ITV hapa hapa Kennedytz

Friday, February 24, 2012

Tanzania kuitimisha mfumo wa analog Desemba 31 kujikita katika Digital

Habari za Tanzania via Kennedytz

Ze comedy TZ

Thursday, February 23, 2012

WATU wawili wafariki mkoani Pwani


Na John Gagarini, Kibaha

WATU wawili wamekufa mkoani Pwani kwenye matukio mawili tofauti
likiwemo la wananchi wenye hasira kali kumwua kwa kumpiga Bw Idrisa
Ugandi (26) mkulima na mkazi wa Kiomboni Visiwani Wilayani Rufiji
baada ya kumtuhumu kuvunja na kuiba vitu mbalimbali vyenye thamani ya
shilingi 935,000.


Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari jana mjini
Kibaha na kamanda wa polisi mkoa wa Pwani Bw Ernest Mangu alisema kuwa
marehemu alikuwa na wenzake wanne ambao walikimbia kusikojulikana.


Kamanda Mangu alisema kuwa tukio hilo lilitokea Februari 21 mwaka huu
majira ya saa 5:00 asubuhi huko Kijiji cha Mlanzi wilayani Rufiji.


Akielezea juu ya tukio hilo alisema kuwa marehemu na wenzake walivunja
nyumba ya Bw Salum Hija akiwa na wenzake na kufanikiwa kuiba vitu
mbalimbali ikiwa ni pamoja na fedha taslimu sh 800,00, simu mbili za
mkononi zenye thamani ya sh 80,000, redio ndogo yenye thamani ya sh
25,000, suruali moja aina ya Jeans sh 15,000, kanga doti moja sh 8,000
na kitenge doti moja 7,000.


Alisema kuwa mwili wa marehemu umehifadhiwa kwenye kituo cha afya
Mlanzi kusubiri uchunguzi wa daktari na ndugu wa marehemu kwa mazishi
pia hakuna mtu aliyekamatwa kuhusinana na tukio hilo na polisi
wanaendelea na uchunguzi.


Wakati huo huo mtoto Makia Karimu mwenye umri wa miaka (6) Mkazi wa
Bungu wilayani Rufiji amekufa baada ya kugongwa na pikipiki wakati
akitembea kwa miguu.


Kamanda Mangu alisema kuwa tukio hilo lilitokea Kiiji cha Bungu majira
ya saa 1:30 usiku barabara kuu ya Dar es Salaam Kilwa ambapo aligongwa
na mwendesha pikipiki aliyetambuliwa kwa jina la Raphael aliyekimbia
akiendesha pikipiki yenye namba za usajili T 419 aina ya Sanlg, chanzo
cha ajali hiyo ni mwendo wa kasi.


mwisho.

Capital News--World Bank report-Road infrastructure development--Moshi rain--Road sefety--

World Bank report-Road infrastructure development--Moshi rain--Road sefety--

Wednesday, February 22, 2012

Msukosuko wa uchumi na matatizo yanayojitokeza



Tanzania yatakiwa kubana matumizi ya serikali ili kuepuka uchumi kuyumba

Mgomo wa madereva wa Hiace Kilimanjaro- Meli ya iliyokatwa na samaki ya...

Capital TV na habari za Tanzania



Development vision 2015 and Climate change reseach. Tampered fuel pumping machine

Tuesday, February 21, 2012

Habari za Tanzania toka ITV hapa hapa Kennedytz

Monday, February 20, 2012

Habari za Tanzania toka ITV hapa hapa Kennedytz

Nape naye katika maombi na dhambi ya ufisadi.

Saturday, February 18, 2012

Habari za Tanzania 12~1

Friday, February 17, 2012

Habari za Tanzania via Kennedytz



Leo pata habari toka TBC

Thursday, February 16, 2012

JK na mipango miji

Monday, February 13, 2012

Habari za Tanzania via Kennedytz



Askari wa wanyama pori wanyanyasa wafugaji. Chadema yaendelea kutoa somo katika katiba elekezi ya Tanzania. Waislam nao wajianda kutoa masomo katika katiba elekezi ya Tanzania.

Vichaka katika mji wa kigamboni ni kero kwa raia



Jeshi la polisi latakiwa kuwa makini na vichaka Kigamboni. Serikali na changamoto ya kujivua gamba. Halmashauri kuu ya CCM yakutana Dodoma.

Thursday, February 9, 2012

Habari za Tanzania via Kennedytz na Bungeni

Sakata la mgomo wa madokta lapelekea waziri na katibu mkuu wake kusimami...



Maendeleo ya Mgomo wa madaktari nchini Tanzania yamesababisha waziri wa wizara ya afya na katibu wake kusimamishwa na jeshi la polisi kuchunguza kulikoni'

Kuanzia kesho madaktari wote watakiwa kuanza kazi mara moja ili kupunguza giza nene kwa wagonjwa katika hospitali mbalimbali ndani ya Tanzania.

Mgomo wa madaktari waendelea.

Wednesday, February 8, 2012

Sakata la madktari kugoma lapelekea wagonjwa kuteseka

Jakaya Mrisho Kikwete R Mengi na Balozi wa sudani

Libeneke la madokta kugoma lazidi kulindima

mpangaji mtemi

Monday, February 6, 2012

Habari za Tanzania via Kennedytz

Habari za Tanzania via Kennedytz

Habari za Tanzania via Kennedytz

Saturday, February 4, 2012

Habari za Tanzania via Kennedytz~4

Friday, February 3, 2012

Mgomo wa madokta waendelea kutingisha hospitali

Mwanafunzi aliyewagonga wenzie wakati wa mahafali Korogwe

Thursday, February 2, 2012

Madaktari na mgomo wa kutoa huduma ya jamii

Chadema yajaribu kuwekeza kwa wasomi.

Habari za Tanzania via Kennedytz



Pata habari mchanganyiko- Shirika la nyumba na wadeni sugu. Uwanacha wa afrika mashariki. Mgomo wa madktari muhimbili.

Wednesday, February 1, 2012

Mgomo wa Madokta Tanzania

Monday, January 30, 2012

Sakata la Mwakyembe.

Sunday, January 29, 2012

Voda na fungu la kumi.

Saturday, January 28, 2012

Watanzania tuache uvivu wa kulalamika

"Uzinjibari ":Siasa na Chaguzi-Dokezi la Watongowaji Kiswahili Omani.


"Uzinjibari ":Siasa na Chaguzi-Dokezi la Watongowaji Kiswahili Omani.

Hivi majuzi nilibahatika tu kusoma andiko la Bi Nafla Kharusi ,wa University ya Oman ,lenye kichwa cha hapo juu
ambalo limechapishwa  mapema tarehe 4 ya mwezi wa january 2012 .
Andiko hilo ni la kiuchunguzi na utafiti kina lilimenivutiya sana kwa sababu limeweka wazi na kudhirihisha mengi
kwa ufupi yanayozungumzwa kindani ndani kuhusu fikra za waarabu wa Zanzibar huko Arabuni pamoja na
waarabu wenye jinsia za mchanganyiko wa asili za Oman na afrika mashariki na ya kati.
 
Andiko hilo kwa kweli linakhusu sana "mindsets"/dhamirisho za Wazanzibari-waarabu waishio Omani,mahusiano yao
ya kila leo ya kijamii na changamoto za ujanisibisho wao ikiwa  ni Uafrika,Utanzania  au Uaarabu.
Suala la Utwii/Loyalty/Alligiance yao inatilia nguvu wapi katika suali la Utaifa ? 
 
Andiko lake Bi Nafla Kharusi ni zuri kulisoma kwa  sababu linachambua mengi na kutoa muangaza wa mambo tofauti
kuhusu zile "Mindsets" au fikra za waarabu  hawa amabao mimi ninawagawa kwa mafungu yafuatayo :
A)Arab-Zanzibaris  (B) Zanzibari-Arabs (C) Arab-Arab Forever (D) Waarabu-Wabara,
katika Tanganyika ,Rwanda,Burundi,na Congo etc.
 
Ninawagwa hivyo kwa sababu ya vile wanavyojinasibu na kujitekeleza zile identity  zao , kwa namna hi au ile
na wakati mwingine kujitokeza moja kwa moja na identity crises zilizowasakama vichwani katika maisha yao
ya kila leo .
Ingawaje wengi  wao maisha yao yametulia baada ya miaka nenda miaka rudi ya dhiki hadi kujaaliwa kupatwa
na faraji kwa kiasi fulani katika nchi za "kwao" arabuni ,lakini bado wangali katika kulega lega kuyakubali  yale
mabadiliko ya dharba na ukweli halisi ulivyo wa kijamii na mahusiano ya kibinaadam ya kileo.
 
Nafla Kharusi ameonyesha  kuwa zipo tofauti  nyingi za kimawazo na hekma  za vikundi hivyo ikiwa ni
kwa upande wa kimatabaka na hata kiitikadi  kuhusu mahusiano msingi ya kijamii.
Waarabu wa kundi la ( D ) yaani wale wasio iishi visiwani  fikira zao ni kinyume sana na zile za waarabu
A,B,C - waliokuwa wakiishi Zanzibar na hasa wale waishiyo Arabuni kwa hivi sasa.
 
Waarabu wa nje ya Unguja na Pemba /Zanzibar  yaani wa nchi jirani za Afrika Mashariki na ya Kati
wanaamini kwamba :
(A) ".... waarabu wa Zanzibar ni majeuri na wenye kupendeleana/nepotism na
wanapenda kujifanya wao wote  ni wajuwaji wa kila kitu".
 
(Nafikiri muandishi ametumia neno nepotism kusudi/kihikmatu badala ya kusema moja kwa moja kua ni watu
wabaguzi au ni mafashisti wa moja kwa moja )
 
(B) "... waarabu wa Zanzibar wanaoishi Arabuni ,wengi wao wanajifanya wao waarabu kuliko
hao waarabu wenyewe na wanajipenkeza ili kunyenyekea kupata promotions ..."
 
".....wakati mwingine hujidai kama hawajui kiswahili au hata kuwakataza watoto wao
kusema lugha ya Kiswahili hadharani na kuifanya lugha kama ni aibu .."
 
Katika page 10 kuna mmoja amejifakharisha kwa kusema hivi na ninanukua .
 
(C) " No I am not a Zinjibari.I am an Arab and an Omani.My tribal name reflects that.
So what if I speak Swahili ? So what if I was in Africa ?
If I was born in China,would I be considered Chineese ?
If a European was born in  Oman ,would he be considered an Arab ?Impossible !!
 
Matamshi kama haya ndio yale niliyokuwa nikiyazungumza mara nyingi kuhusu lile suala zima la
kitaifa na utwii /alligiance /loyalty ya watu wenye mindsets kama hizi ,jee kweli wanaweza kuwa na Imani
na pendo safi kwa  Uzanzibari nchi ya Afrika na Uaafrika  na Utaifa  wa Utanzania?
Nijiuliza masuala hayo kutokana  na namna wanavyojifakharisha ujinsiya wao kuliko ziwa la mwanzo
lililopitiya limini mwao lugha ya Kiswahili .
 
 
 
Katika page 15 yupo mmoja aliyesema hivi na ninanukua.
 
"Why should I speak Swahili ?
It is an alien languadge. I am an Arab not a Zinjibari.I think like an Arab .
Arab blood runs through me.
Arabic is my languadge,it expresses best my Arab Culture ".
 
Kimsingi sioni ubaya wowote wa mtu kama huyu kujivuniya kabila lake na Uaarabu wake .
Jambo hilo kwangu mimi halina utata kabisa kabisa,lakini cha kushangaza ni kwamba,wakati
wenyeji asili wa kiafrika nchini Tanzania - Bara na Visiwani wanapo jivunia Uaafrika wao kwa
mapana na marefu huwa wanatiliwa nongwa na kutaka kulazimishwa Wajinasibu kwa  ule
"Uzanzibari  wa kupinga kila kitu cha watu wa Bara " na kufikia kikomo kuwa  eti ni maajabu
kwa muafrika wa Msumbiji kuwa Mkaazi au raia wa Zanzibar - sababu ? eti ni Mmakonde au
ni Mmasai .
Yaani mindsets za hawa hawa wanaojivuniya  Uaarabu wao ,wao wanaona kuwa ni haramu kwa
Mmasai au Mmakonde kuwa Mkaazi wa Unguja au Pemba  au hata kua raia Mzanzibari .
Wao huwa wanasahau kuwa wapo Wazanzibari wengi kote duniani na wengi wao wachukuwa
tajnisi za uraia wa nchi hizo wanako ishii. Panapo kuja habari a Mmasai na Mmakonde ,mara
huwa wanazungumza kwa limi mbili za fitina na itikadi-chuki kwa njama za kuzidisha kwa kutumia
Uisilamu dhdi ya Wakristo na unafiki mwingineo .
 
Njama kama hizi za kupinga Uafrika na itikadi-chuki dhidi ya watu wengine wa bara la afrika ndizo 
zilizosababisha  ILE MISIBA YOTE MIKUBWA YA KABLA NA BAADA MAPINDUZI YA 1964.
 
 
 
YALIYO ANDIKWA NA BI S.KHARUSI ,hayashangazi  lakini yanasisimuwa na hata kudokeza  au
kuonyesha baadhi ya sababu a kwa nini palifanyika Mapinduzi Zanzibar dhidi ya Usultani na Ubwenyeye na kwa bahati
mbaya iliyowafika baadhi ya Waarabu na makabila mengine ya Wazanzibari -waliokuwemo na wasiokuwemo kwenye
ile misiba mikubwa iliyotokea ambayo inshaala haitatokea tena .
 
Cha Kustaajabisha ni kwamba ikiwa leo baada ya miaka 48 tokea Mapinduzi ya 1964 ,bado kuna baadhi ya
watu walio na hisia za kikabila/tabaka za kujiboresha kuliko binaadam wengine .Jee usalama na amani utapatikana
vipi wakati kuna watu ambao wanawaona Wamasai  au Wamakonde si binaadamu waliotimia au kustahiki kuwa
na haki sawa za Ukaazi au Urai wa Zanzibar? Wazanzibari  wangapi wanaoishi BARA  
  
Jee kule kuwepo kwa Wazanzibari  njee katika nchi mbali mbali kwa salama na amani haiwi ni somo pekee
la kuwafunguwa macho watimba kwiri kuhusu nini  mahusiano ya Kibinaadam na haki na usawa wa Binaadam ?
 
Au ndio  baada ya "Dhiki " ya yale yote yaliyotokea Wakati wa ; na baada ya MAPINDUZI ,
wameyasahau kwa sababu  sasa baada ya kupatikana hizo"Faraji " ndio Ujeuri na Madharau dhidi ya binaadam
wengine ndio unajitokeza tena pengine  Umezidi?
 
Jee wapo miongoni mwa hao waitwao "Wa Juni -Julai " ambao wanataka kujionyesha na kunyanyasa binaadam
wengine kwa sababu ya maposho ,mishahara minene na kwa sababu za asili na jinsia zao ?
 
Lugha na yanayosemwa katika  Paper ya utafiti kina ya  Bi Nafla Kharusi ,na ukifanisha na mengi
yanayozungumzwa  katika Zanzinet is very alarming kwa sababu za ule mgando wa kisiasa na Mindsets
za kijabari/ujeuri wa  kikale kabisa  ,lazima wajuwe Ubwenyeye huo umhapitiwa na wakati .
 
20 pages za Bi Nafla Kharusi ,zinasema mengi kiutfiti kina na kwa ufupi ,ni somo kwa wale wote wenye
uwezo wa  kuelewa  usayansi wa muandaliyo na ufananuzi wa fikra za jamii fulani ,jinsi wafikirivyo na muamko wao
wa hali ya mahusiano ya kijamii .
 
Waliobahatika kusoma wamesoma ;wale ambao bado basi ninahakika Wataweza kufaidika na  kutafakari kina
kwa utaalamu ulio andikwa hapo na yale yaliyodhihirishwa na  muandishi wa Paper Hiyo.
Nampa heko Bi Nafla Kharusi ,kwa jitihadi yake ya kuona ya ndani ya dhamirisho za Wazanje -Zinjibari,yeye
amepata mengi kwa sababu ya ustadi pekee kwa vile yeye ni "Mwandani" wa jamii anaekubalika na wale wote
waliohojiwa katika utafiti wa andiko lake .
 
 Wenu  mtafiti
     A.HASHIM

Friday, January 27, 2012

Habari za Tanzania via Kennedytz

Thursday, January 26, 2012

East Africa Thank You: Band Aid

Wednesday, January 25, 2012

Habari via kennedytz na sakata la mafuta Tanzania

Ocampo on ICC Verdict - on kennedytz from citizen.


Pongezi kwa Citizen TV kutengeneza na Kennedytz kufanya edit ndogo.

Tanzania yatoa leseni ya uchimbaji wa mafuta

WOMEN IN BALANCE KITCHEN PARTY GALA


Jamani wadau WOMEN IN BALANCE KITCHEN PARTY GALA mambo yameiva zimebaki siku chache kazi kwako hii siyo yakukosa wasichana na wanawake- Maelezo ya kujitosheleza nenda kwa ADE

Tuesday, January 24, 2012

Habari mchanganyiko via Capital Tv Hapa hapa kennedyTz

haba


Ben Komba/Pwani-Tanzania/24/01/2012


Klabu ya waandishi wa habari mkoa wa Pwani, imeshukuru umoja wa klabu za waandishi wa habari Tanzania kwa kuweka mikakati ya kukuza kiwango uandishi nchini, kwa kutoa mafunzo mbalimbali yanayohusiana na kada hiyo kwa wanachama wake wote nchini.


Mratibu wa Klabu ya waandishi wa Mkoa wa Pwani, BI.MARGARET MALISA amesema hayo pembeni mwa warsha siku ya nne ya uandishi wa habari za vijijini ambayo yaliwashirikisha waandishi 18 kutoka vyombo vyenye uwakilishi Mkoani Pwani, ambapo amefafanua hatua hiyo ya kutoa mafunzo kuhusiana na uandishi wa habari za vijijini yatakayowawezesha kuandika habari kwa weledi.


Aidha ameaasa viongozi wa klabu za waandishi nchini kutekeleza majukumu yao kwa uwazi ili kujenga mshikamano na amani ndani ya klabu hizo, amewasisitizia kufuata taratibu zilizopo katika kuendesha klabu hizo ziweze kufikia malengo waliyojiwekea katika kudumisha maadili ya uandishi wa habari.


BI.MALISA akizungumzia kuhusiana na vikao vya kikatiba, amesema ni muhimu kuwepo kwa mikutano ya kikatiba ambayo inatoa fursa kwa wanachama kupata taarifa ya mapato na matumizi, na kuwekana sawa na kushauriana juu ya masuala mbalimbali yanayoziikabili klabu za waandishi wa habari nchini.


Mwezeshaji BW.ALLAN LAWA ameelezea adhima ya umoja wa klabu za waandishi wa habari nchini kutoa mafunzo zaidi kwa waandishi wa habari nchini katika kuhakikisha wanayanyua viwango vyao katika uandishi wa habari za vijijini, katika kuchochea maendeleo ya kilimo nchini.


Amewasihi waandishi wa habari ambao tayari ni wanachama wa klabu za waandishi wa habari kutowabagua wenzao na ikiwezekana kuwashawishi ambao sio wanachama kujiunga nao, katika kuzipa  nguvu klabu za waandishi nchini na kuepuka kuogopa mawazo mapya.


END.

F.A.S.T. - Families and Schools Together



Ilipakiwa na tarehe 23 Jan 2012

1 in every 3 children in the UK leaves primary school without even the basic reading and writing skills. Save the Children's FAST programme brings families and schools together to help every child reach their potential.

Save the Children is working in partnership with Families and Schools Together (FAST) to improve access to FAST's parental engagement project across the UK. FAST has an established track record for 80% retention rates with socially marginalised parents and has already transformed the lives of children in eight countries and 2,000 schools.


  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu